Nyasa (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+image#WPWP
No edit summary
Mstari 1:
 
[[Picha:Lake Malawi00.jpg|thumb|Picha ya Ziwa malawi mwaka ,1967]]
a:TZ Nyasa (Malawi).PNG|thumb|250px|right|Mstari mwekundu unaonyesha mpaka usiokubaliwa kati ya Tanzania na Malawi.
Tanzania inadai mstari mwekundu kuwa sahihi, lakini Malawi inadai ziwa lote hadi [[mwambao]] wa Tanzania. Mpaka kati ya Msumbiji na Malawi hauna matata.]]
'''Ziwa Nyasa''' (katika [[Malawi]]: '''Lake Malawi'''; katika [[Msumbiji]]: '''Niassa''') ni kati ya ma[[ziwa]] makubwa ya [[Afrika ya Mashariki]] likiwa na nafasi ya [[tatu]] baada ya [[Viktoria Nyanza]] na [[Ziwa Tanganyika]].