Nyasa (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
Ki[[jiolojia]] ziwa ni sehemu ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]].
 
[[Ziwa Nyasa]] linajulikana kuwa na aina nyingi za [[samaki]] (zaidi ya 1500). Aina chache tu zinavuliwa kama [[chakula]], lakini aina mbalimbali zinakamatwa na kuuzwa nje ya [[Afrika]] kwa wapenzi wa samaki wa [[rangi]].
 
katika [[ziwa]] nyasa kuna [[mito]] mbalimbali iniyoingiza maji yake humo kama vile mto [[lufilyo]],mto mbaka,kiwila,mto songwe
 
== Eneo la Ziwa ==