Nyasa (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Lake Malawi00.jpg|thumb|Picha ya Ziwa malawiMalawi mwaka ,1967.]]
 
[[Picha:TZ Nyasa (Malawi).PNG|thumb|250px|right|Mstari mwekundu unaonyesha mpaka usiokubaliwa kati ya Tanzania na Malawi. Tanzania inadai mstari mwekundu kuwa sahihi, lakini Malawi inadai ziwa lote hadi [[mwambao]] wa Tanzania. Mpaka kati ya Msumbiji na Malawi hauna matata.]]
[[Picha:Lake Malawi00.jpg|thumb|Picha ya Ziwa malawi mwaka ,1967]]
'''Ziwa Nyasa''' (katika [[Malawi]]: '''Lake Malawi'''; katika [[Msumbiji]]: '''Niassa''') ni kati ya ma[[ziwa]] makubwa ya [[Afrika ya Mashariki]] likiwa na nafasi ya [[tatu]] baada ya [[Viktoria Nyanza]] na [[Ziwa Tanganyika]].
 
Mstari 11:
Ki[[jiolojia]] ziwa ni sehemu ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]].
 
[[Ziwa Nyasa]] linajulikana kuwa na aina nyingi za [[samaki]] (zaidi ya 1500). Aina chache tu zinavuliwa kama [[chakula]], lakini aina mbalimbali zinakamatwa na kuuzwa nje ya [[Afrika]] kwa wapenzi wa samaki wa [[rangi]].
 
katika [[ziwa]] nyasa kuna [[mito]] mbalimbali iniyoingiza maji yake humo kama vile mto [[lufilyo]],mto mbaka,kiwila,mto songwe
 
== Eneo la Ziwa ==