M-pesa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Hreflafa (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 41.222.179.145
Tag: Rollback
+M-PESA_mobile_money_and_Equity_agent,_Nairobi,_Kenya.jpg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[picha:M-PESA_mobile_money_and_Equity_agent,_Nairobi,_Kenya.jpg|thumbnail|right|200px|Kibanda cha M-pesa,Nairobi Kenya]]
'''M-pesa''' ni huduma ya kutuma [[pesa]] kwa kutumia [[simu ya mkononi]] inayotolewa na kampuni ya [[mawasiliano]] ya [[Safaricom]]. [[Kenya]] ndiyo nchi ya kwanza kuwahi kutumia huduma hii maarufu ambayo ilizinduliwa mwezi Aprili mwaka wa 2008 kwa ushirikiano kati ya Safaricom na [[Vodafone]]. Tangu wakati huo, Mpesa imetia fora sana hasa kwa wananchi wa mapato ya chini wasio na akaunti za [[benki]]. Kulingana na takwimu rasmi za Safaricom, Mpesa ina wateja zaidi ya milioni Saba na imewezesha wakenya kutuma na kupokea takriban shilingi bilioni 230 kufikia Agosti 2009. Mwaka huu, Safaricom iliboresha huduma hii zaidi hivi kwamba wakenya wanaweza kupokea pesa moja kwa moja kutoka kwa jamaa zao walioko nchini [[Uingereza]].