Siasa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[picha:ElezioneMilano.jpg|thumbnail|right|200pax|Kampeni za kisiasa nchini [[Italia]].]]
'''Siasa''' ni njia ya kufanya [[maamuzi]] katika ngazi mbalimbali za [[
Sehemu muhimu ya siasa ni [[majadiliano]] kati ya [[watu]] mbalimbali wenye [[nguvu]] au [[mamlaka]].
Katika [[demokrasia]] kila mtu ana kiasi fulani cha nguvu, kwa hiyo siasa ya demokrasia ina maana ya watu wote kuchangia maamuzi.
Hapa chini, mifumo mbalimbali ya kisiasa huelezwa kifupi:
==Utawala wa Kifalme==
ni mfumo wa uongozi unaompa mamlaka ya [[dola]] na ya [[serikali]] [[Mfalme]]. Katika mfumo huu [[madaraka]] hurithiwa na mtu wa [[familia]] ya kifalme.
==Utawala wa Kiimla==
ni mfumo wa uongozi unaotoa madaraka yasiyo na mipaka kwa [[kiongozi]]. Katika utawala huu watu binafsi hawana [[haki]] na [[uhuru]] katika maamuzi.
==Utawala finyu==
ni mfumo unaowapa wachache kati ya wengi nguvu za maamuzi katika dola na serikali. Nafasi ya wachache hawa hutokana na [[haiba]] na [[uwezo]] wao ki[[uchumi]], ki[[jamii]], ki[[jeshi]] au kutokana na mafanikio yao katika nyanja mbalimbali za maisha. Mfumo huu ni nadra sana siku za hivi karibuni. Pia waweza kuitwa utawala wa ma[[kabaila]].
==Utawala wa Umma==
ni utawala unaotokana na jamii kuamua misingi ya kujiongoza, hivyo unatoa fursa ya madaraka kwa [[umma]] moja kwa moja au kutokana na kuwakilishwa. Mfumo huu wa utawala hujulikana kama
===Demokrasia Chama===
ni aina ya demokrasia ya kura. Inashirikisha watu wote kuwa wanachama.
===Demokrasia Baguzi===
ni aina ya
===Demokrasia Duni===
ni aina ya demokrasia inayotokana na makundi ya watu na kisha kupitia makundi hayo watu kuunda serikali mfano: [[chama]] - serikali.
Line 25 ⟶ 28:
ni aina ya demokrasia inayotoa [[fursa]] ya [[usawa]] na kupinga ma[[tabaka]] katika jamii.
===Demokrasia Shirikishi===
katika aina hii ya
Wachache huchaguliwa na wengi kwa njia ya
{{Sayansi}}
{{mbegu-siasa}}
|