Siasa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[picha:ElezioneMilano.jpg|thumbnail|right|200pax|Kampeni za kisiasa nchini [[Italia]].]]
'''Siasa''' ni njia ya kufanya [[maamuzi]] katika ngazi mbalimbali za [[jamii]], kama vile [[mji]], [[taifa]], au hata [[dunia]] nzima ([[siasa ya kimatatifakimataifa]]).
 
Sehemu muhimu ya siasa ni [[majadiliano]] kati ya [[watu]] mbalimbali wenye [[nguvu]] au [[mamlaka]].