Kampuni ya umma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+Society.svg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[picha:Society.svg|thumbnail|right|200px]]
'''Kampuni ya umma''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Public Limited Company'', [[kifupi]]: ''PLC'') ni mfumo wa biashara ulio chini ya kampuni ya umma. Kampuni za mfumo huu ziko na dhima yenye ukomo (kwa [[Kiingereza]]: ''limited liability'') na [[hisa]] zake zinaweza kuuzwa kwa [[uhuru]] na kuuzwa kwa umma kwenye [[Soko la Hisa]] (kwa [[Kiingereza]]: ''stock exchang market'')<ref>Longman Business English Dictionary</ref>.