Tofauti kati ya marekesbisho "Joseph Butiku"

5 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
|mengine=
| }}
'''Joseph Waryoba Butiku''' (alizaliwa tar.) ni [[Mkurugenzi mtendaji]] na [[rais]] wa [[Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere]] (inayojulikana pia kama ''Mwalimu Nyerere Foundation'') na ni msaidizi wa [[utafiti]] binafsi na mjumbe binafsi [[Tanzania]]<ref>https://www. Joseph Butiku kwa mujibu wa A Biography of Julius Nyerere pjuliusnyerere.66 ni miongoni mwa wanafunzi waliosoma pamoja na Rais wa kwanza na muasisi wa Tanzania Hayati Julius Kambarage Nyerereorg/uploads/nyerere_lifetime_legacy_joseph_butiku.pdf</ref>.
<ref>https://www.juliusnyerere.org/uploads/nyerere_lifetime_legacy_joseph_butiku.pdf</ref>
 
==Maisha==
Joseph Butiku, kwa mujibu wa "A Biography of Julius Nyerere" p.66, ni miongoni mwa [[wanafunzi]] waliosoma pamoja na Rais wa kwanza na muasisi wa Tanzania [[Julius Kambarage Nyerere]].
 
Joseph Butiku alihudhuria mafunzo ya kijeshi [[Monduli]] na alimaliza kama [[Luteni]] na hatimaye aliweza kufikia [[cheo]] kikubwa cha [[Meja]].
 
Vilevile aliweza kuwa [[katibu mkuu]] wa faragha na Mkuu wa Wafanyakazi chini ya Rais [[AlliAli Hassan Mwinyi]].
 
Alikuwa [[Katibu mkuu]] wa Chama cha Mapinduzi [[CCM]] kanda ya [[mkoa wa Mara]] na baadaye alikuwa Kamishna wa kikanda. <ref>https://www.juliusnyerere.org/uploads/nyerere_lifetime_legacy_joseph_butiku.pdf</ref>
{{reflist}}
{{mbegu-mwanasiasa}}
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]