Tetemeko la ardhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Tetemeko la ardhi" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
Mstari 31:
 
===Maelezo ya ndani zaidi===
Ili kufahamu sababu hiyo ya matetemeko ya ardhi, inabidi kufahamu mambo yanayoendelea chini ya ardhi.  Kwanza ni lazima kufikiria muundo wa [[duniaSunia]].  Dunia ina umbo la [[tufe]] kubwa.  Umbali uliopo baina ya pande mbili tofauti kinyume za dunia ni kilomita elfu kumi na tatu hivi. Katika sehemu ya nje ya duniaDunia, ardhi ni thabiti (ngumu).  Kwa nje duniaDunia ina gamba la mwamba ngumumgumu. Gamba hilo lina unene baina ya baina kilomita kumi na kilomita hamsini.
 
Kama ungeweza kusafiri chini ya ardhi, yaani kuvuka gamba hilo, ungeona kwamba mazingira ni tofauti sana.  Chini yakeya gamba la nje unafika katika "koti ya dunia", na hapa yote ni mwamba na chuma katika hali ya joto kali. Hivyo mwamba na chuma katikandani kitovuya cha duniaDunia si imara bali umeyeyuka, kama matope joto (inayoitwa [[zaha]]) yanayotoka nje ya [[volkeno]] wakati wa [[Mlipuko wa volkeno|mlipuko]]. 
 
Hali ya [[magma|mwamba huo ulioyeyuka wenye joto mno]] ndani ya dunia unafanana na hali ya sufuria ya maji ya kuchemka. Katika sufuria tunaona mwendo fulani, na tukiweka jani kwenye maji tunaona jinsi inavyozungukalinavyozunguka pamoja na maji ambayo yanachemka. Maana ndani ya kiowevikiowevu kinachochemka kuna mwendo. Mwendo huohuokama huo unapatikana pia ndani yakwenye mwamba wa kuyeyushwaulioyeyuka ndani ya duniaDunia. Hivyo gamba linavutwala pianje linaathiriwa na mikonmdomikondo ndani ya mwamba ulioyeyuka, likisogeana piamikondo yake.  Kwa sababu ya kusukumwa, gamba huvunjika. Kwa hiyo badala ya pande moja zima la gamba, kuna baadhi ya [[Bamba la gandunia|mapande makubwa ya gamba]] yanayosogeayanayosogezwa yakiwa na nguvukani kubwa mno.
 
[[Picha:Quake_epicenters_1963-98_notitle.png‎|right|370px|thumb|Ramani inayoonyesha mahali duniani ambapo nishati ya matetemeko ya ardhi iliachiwa baina ya miaka 1963 na 1998. Kila nukta inaonyesha kitovu cha tetemeko moja.]]
 
Katika baadhi ya sehemu za duniaDunia, mapande hayo yanakutana yakipambanayakisukumana.  Wakati huo, nguvu kubwa mno inasukuma mwamba thabiti wa gamba kuelekea juu na chini. Ndivyo hivyo baada ya miaka mingi sana, safu za milima zinavyojengwa.  Pia pande moja linaposukumwa chini ya pande jingine, bonde kubwa sana linajengwa.  Kwa mfano, kuna ufa mkubwa sana uliopo chini ya bahari, katika pwani ya [[California|Kalifornia]] magharibi mwa Marekani.  Karibu na pwani ya nchi zilizopo katika pwani ya magharibi ya bara la [[Amerika]], kuna milima mingi kutokana na pande hilo kusukumwa juu.  Pia, karibu na pwani, kuna mifereji ambapo chini ya bahari imekwenda chini sana, kwa ajili ya pande jingine lililosukumwa chini.
 
Katika maeneo ambayo mapande yanatenganishwa, gamba ni jembamba, na mwamba ulioyeyuka unaondoka.  Ukiona ramani ya dunia, sehemu ya mashariki ya bara la [[Amerika]] na sehemu ya magharibi ya mabara ya [[Afrika]] na [[Ulaya]], utaona kwamba inawezekana zamani sana mabara hayo yalikuwa bara moja tu.  Pia, katika chini ya bahari kati ya Afrika na Marekani, wachunguzi wameona kwamba katika mstari wa katikati baina ya mabara hayo, kuna idadi kubwa ya miamba ilioyeyuka iliyotoka ardhini.
 
Baadhi ya wakati mapande hayo yanateleza pole pole.  Lakini mara kwa mara yanasimama badala ya kuendelea kuteleza.  Hivyo nishati inajengeka. Nishati inapoachiwa - kwa kawaida kwenye mipaka baina ya mapande tofauti - mapande yanasogea kwa ghafula na kwa haraka.  Hivyo, ardhi inatetemeka. Ndivyo matetemeko ya ardhi yanavyotokea.  Wachunguzi wameona kwamba matetemeko ya ardhi mara nyingi yanatokea katika  maeneo hayo ambayo yana milima mingi na nyufa.  Kwa mfano, kuna hatari ya matetemeko [[Kalifornia]] nchini [[Marekani]]. Mitetemeko mingi yaani zaidi ya asilimia 80 hutokea katika beseni ya [[Pasifiki]].
 
Katika mazingira ya [[volkeno]] tetemeko lasababishwa na miendo ya [[magma]] chini ya volkeno hasa wakati wa [[Mlipuko wa volkeno|mlipuko]].