20th Century Studios : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Logo 20th century fox.jpg|thumb|right|350px|Nembo ya {{PAGENAME}}]]
'''Twentieth (20th) Century Fox Film CorporationStudios''' (ilijulikana kuanzia [[1935]] hadi [[1985]] kama '''Twentieth Century-Fox Film Corporation''') ni kampuni kubwa ya Kimarekani inayo-jishughulisha na masuala ya utengenezaji wa filamu. Studio ipo mjini [[Century City, Los Angeles, California|Century City]] katika eneo la [[Los Angeles, California]], Marekani, yaani magharibi mwa [[Beverly Hills, California|Beverly Hills]]. Studio hii ni kampuni tanzu ya [[News Corporation]], [[shirikisho la vyombo vya habari]] linalomilikiwa na [[Rupert Murdoch]].
 
Twentieth Century Fox ilianzishwa mnamo 1935 pale [[Fox Film Corporation]] na [[Twentieth Century Pictures]] walipoungana na kuunda kampuni. [[20th Century Fox Television]] ni moja ya sehemu ya kampuni ambayo hasa hujishughulisha na masuala ya utayarishaji wa vipindi vya tevisheni.