Tetemeko la ardhi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 31:
===Maelezo ya ndani zaidi===
Ili kufahamu sababu hiyo ya matetemeko ya ardhi, inabidi kufahamu mambo yanayoendelea chini ya ardhi.
Kama ungeweza kusafiri chini ya ardhi, yaani kuvuka gamba hilo, ungeona kwamba mazingira ni tofauti sana.
Hali ya [[magma|mwamba huo ulioyeyuka wenye joto mno]] ndani ya dunia unafanana na hali ya sufuria ya maji ya kuchemka. Katika sufuria tunaona mwendo fulani, na tukiweka jani kwenye maji tunaona jinsi linavyozunguka pamoja na maji ambayo yanachemka. Maana ndani ya kiowevu kinachochemka kuna mwendo. Mwendo kama huo unapatikana pia kwenye mwamba ulioyeyuka ndani ya Dunia. Hivyo gamba la nje linaathiriwa na mikondo ndani ya mwamba ulioyeyuka, na mikondo yake. Kwa sababu ya kusukumwa, gamba huvunjika. Kwa hiyo badala ya pande moja zima la gamba, kuna baadhi ya [[Bamba la gandunia|mapande makubwa ya gamba]] yanayosogezwa yakiwa na kani kubwa.
Mstari 217:
* http://earthquake.usgs.gov/activity/past.html
* http://www.emsc-csem.org/#2 European-Mediterranean Seismological Centre
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:Tetemeko la ardhi]]
[[Jamii:Maafa asilia]]
|