Content deleted Content added
Mstari 13:
Ndugu, usijidanganye kwamba utashinda tuzo kwa kubadilisha maneno ya kuelezea picha zilizomo tayari katika makala za Wikipedia... Ni lazima uongeze picha pale ambapo hazipo. Amani kwako! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 10:02, 15 Agosti 2020 (UTC)
 
Ndugu [[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]], mimi sishiriki katika mashindano ila najaribu kuangalia sehemu ambazo washiriki wa mashindano wamefanya nakujaribu kuongeza ubora na kusahihisha sehemu ambazo naona zinaweza zikawa bora zaidi. Je ni vibaya kufanya hivi? Amani kwako pia! Nashukuru sana,.