Algorithm : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Algorithm''' au ('''algorithimu''' kwa [[kiswahili]]) ni [[njia]] ya kutatua kwa hatua chache magumu katika [[hisabati]]. Njia hiyo inaweza kufanya [[hesabu]] na [[usindikaji]] wa [[data]].
 
[[Jina]] linatokana na [[mwanahisabati]] wa [[Uajemi]] [[al-Khwarizmi]] aliyetoa maelekezo ya kwanza ya namna hiyo katika [[karne ya 9]] [[BK]].