Yakobo Kyushei Tomonaga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:ChristianMartyrsOfNagasaki.jpg|thumb|right|Mchoro wa Kijapani ukiwaonyesha [[Wafiadini wa Nagasaki]], [[karne ya 16]] na ya [[karne ya 17|17]].]]
'''Yakobo Kyushei Tomonaga, [[O.P.]]''' ([[Kyūshū|Kyudetsu]], [[1582]] hivi - [[Nagasaki]], [[1716 Agosti]] [[1633]]) alikuwa [[padri]] kutoka [[Japani]] na mmojawapo kati ya [[Wakristo]] wa [[Kanisa Katoliki]] waliofia [[dini]] nchini humo.
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]] pamoja na [[Lorenzo Ruiz]] na wenzao waliotangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[wenye heri]] [[tarehe]] [[18 Februari]] [[1981]] halafu [[watakatifu]] tarehe [[18 Oktoba]] [[1987]].
 
[[Sikukuu]] yao huadhimishwa tarehe [[28 Septemba]], lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya [[kifodini]] chake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
Line 9 ⟶ 11:
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Marejeo==