Sergei Eisenstein : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 86 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8003 (translate me)
+image #WPWPTR #WPWP
Mstari 1:
[[File:Sergei Eisenstein 03.jpg|thumb|Sergei Mikhailovich Eisenstein]]
[[Picha:Sergei Eisenstein 01.jpg|thumb|right|Sergei Eisenstein]]
'''Sergei Mikhailovich Eisenstein''' ([[Kirusi]]: '''Сергей Михайлович Эйзенштейн''' ''Sergey Mihaylovich Eyzenshteyn''}}; 23 Januari 1898 – 11 Februari 1948) alikuwa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu katika [[Umoja wa Kisovyeti]]. Alikuwa kati ya waongozaji filamu wa kwanza walioandika juu ya nadharia ya filamu na hivyo kuweka msingi kwa sanaa changa ya filamu. Mtindo alioanzisha na kuendeleza ilikuwa kukata vipande vya filamu na kuviunganisha baada ya kupiga picha.