Roko wa Montpellier : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
#WPWP #WPWPTZ
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Saint Roch MET EP14.jpg|250px|thumb|right|Mtakatifu Roko alivyochorwa na [[Francesco Francia]].]]
'''Roko wa Montpellier''' ([[Montpellier]], [[Ufaransa]], [[1348]] hivi - [[Voghera]], [[Italia]], [[16 Agosti]] [[1379]]) alikuwa [[Mkristo]] maarufu kwa kuishi miaka mingi bila makao maalumu. Ndiyo maana kwa kawaida anachorwa amevaa [[nguo]] za [[hija]]. Katika mizunguko yake alihudumia kishujaa waliopatwa na [[tauni]].
 
Katika mizunguko yake sehemu mbalimbali alihudumia kishujaa waliopatwa na [[tauni]] na kuwaponya wengi kwa [[mkono]] wake wenye [[karama]]. Huko [[Piacenza]] mwenyewe aliugua tauni akapona.
Miaka 3-5 ya mwisho alikuwa mfungwa [[Gereza|gerezani]] akidhaniwa mpelelezi, asifanye chochote kwa kujitetea au kujitambulisha.
 
Miaka 3-5 ya mwisho alikuwa mfungwa [[Gereza|gerezani]] akidhaniwa [[mpelelezi]], asifanye chochote kwa kujitetea au kujitambulisha kwa [[watawala]] ambao walikuwa [[ndugu]] zake wakamtambua baada ya kufa tu.
 
Tangu kale ni kati ya [[watakatifu]] maarufu zaidi [[duniani]], pia kwa sababu ya [[miujiza]] iliyosemekana alifanya wakati wa [[uhai]] wake na baada ya [[kifo]], hasa kwa [[wagonjwa]] wa tauni, kama alivyoahidi kwa [[maandishi]].
Line 28 ⟶ 30:
[[Category:Wafransisko]]
[[Category:Watakatifu wa Ufaransa]]
[[Jamii:Watakatifu wa Italia]]