Tofauti kati ya marekesbisho "Jumla"

19 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|368x368px|Alama ya jumla. Katika hisabati, '''jumla''' (kwa Kiingereza: addition) ni moja ya uendeshaji wa hesabu nn...')
 
[[Picha:Plus symbol.svg|thumb|368x368px|Alama ya jumla.]]
Katika [[hisabati]], '''jumla''' (kwa [[Kiingereza]]: addition) ni moja ya uendeshaji wa [[hesabu]] nne (kwenye [[mgawanyiko]], [[utoaji]] na [[dharuba]]). jumla ni kinyume cha utoaji. Alama ya jumla ni "+".
[[Picha:Addition01.svg|thumb|Mfano wa 3+2=5 kwa [[Tofaa|matofaa]]]]
Kwa usahihi, jumla ni mchakato wa kujumlisha [[thamani]] ya [[namba]] moja na thamani ya namba nyingine. Kwa mfano, 3+2 = 5.
 
== Marejeo ==
740

edits