Sah'lomon : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Infobox Album | Jina = Sah'lomon | Type = studio | Msanii = Sah'lomon | Cover = Sah'lomon Cover.jpg | Imeto...' |
(Hakuna tofauti)
|
Toleo la sasa la 12:50, 18 Agosti 2020
"Sah'lomon" ni jina la albamu iliyotoka mwaka 1992 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Sah'lomon. Albamu hii umaarufu wake unatokana na wimbo wa " Sarrah." Nyimbo nyengine kali kutoka katika albamu ni pamoja na Kumba, Salam Samia, Kumba na Jona.
Sah'lomon | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Sah'lomon | |||||
Imetolewa | 1992 | ||||
Imerekodiwa | 1991-1992 | ||||
Aina | Soukous | ||||
Lebo | Sah'lomon – NS 003 | ||||
Mtayarishaji | Sah'lomon | ||||
Wendo wa albamu za Sah'lomon | |||||
|
Orodha ya nyimbo hariri
Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.
- A1 — Sarrah
- A2 — Aissa Kumba
- A3 — Salam Samia
- A4 — Instrumental Kumba
- B1 — Jona
- B2 — Nac Mina
- B3 — Kumba
- B4 — Jona (B)
Viungo vya Nje hariri
- Sah'lomon katika wavuti ya Discogs.