Jumla : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Plus symbol.svg|thumb|368x368px|Alama ya jumla.]]
Katika [[hisabati]], '''jumla''' (kwa [[Kiingereza]]: [[addition]]) ni moja ya uendeshaji wa [[hesabu]] nne (kwenyepamoja na [[mgawanyiko]], [[utoaji]] na [[dharuba]]). jumlaJumla ni kinyume cha utoaji. [[Alama]] ya jumla ni "+".
[[Picha:Addition01.svg|thumb|Mfano wa 3+2=5 kwa [[Tofaa|matofaa]].]]
Kwa usahihi, jumla ni mchakato wa kujumlisha [[thamani]] ya [[namba]] moja na thamani ya namba nyingine. Kwa mfano, 3+2 = 5.
 
== Marejeo ==
 
* Kinyondo, A. R. ''Mazoezi ya hisabati kwa kadi''. Dar es Salaam University Press.
{{mbegu-hisabati}}
 
[[Jamii:Hisabati]]
[[Jamii:Kompyuta]]
[[Jamii:Sayansi]]