Chokoleti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Hatua za kutengeneza chokoleti: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ast}} (4) using AWB (10903)
Mstari 7:
 
== Historia ya chokoleti ==
Asili yake ni kinywaji wa watu wa [[Mexiko]] wa kale waliochemsha [[unga]] la [[kakao]] katika maji pamoja na viungo. [[Wahispania]] waliikuta kwa [[Azteki]] na kuipeleka [[Ulaya]]. Wakitumia hapa jina la Kiazteki "xocolātl" lenya maana ya "maji chungu".
 
Katika Ulaya ilitumiwa muda mrefu kama kinywaji na wakati wa karne ya 19 [[Wajerumani]] walianza kutengeneza pipi jinsi inavyojulikana leo.
 
Chokoleti huyeyuka haraka kwa sentigrefi 40-50 hivyo ni rahisi kuifinga kwa maumbo mbalimbali.