Toi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho dogo
dNo edit summary
Mstari 1:
{{jaribio}}
[[Picha:Marbles 01.JPG|300px|thumbnail|[[Gololi]] (hapa za kioo) ni vichezeo vinavyopendwa kote duniani]]
'''Toi'''<ref>"toi" ni jaribio la kutumia neno la Kiingereza jinsi linavyoweza kusikika mjini Dar es Salaam kwa jambo ingawa haionekani katika maandishi ya Kiswahili,</ref> ''([[ing.]] toy)'', pia '''kichezeo'''<ref>Kichezeo si neno la kawaida kwa Kiswahili; hadi sasa hakuna nomino moja kwa "kitu cha kuchezea" lililo kawaida kwa Kiswahili. "Kichezeo" imewahi kutumiwa mara chache kwenye blogu kadhaa na kurasa nyingine. Inapatikana pia katika kamusi ya Legere, Kijerumani-Kiswahili</ref> ni kitu cha kuchezea, hasa kwa watoto.
 
Mifano yake ni [[mwanasesere]], [[mpira]] au [[gololi]]. Lakini si watoto pekee wanaotumia toi hutumiwa pia na watu wazima au wanyama. Kwa mfano [[paka]] hupenda kucheza kwa mpira.
 
 
Katika mazingira ya kijadi watoto wanatumia vitu vinavyopatikana kiasili kama mawe na mafimbo. Halafu wanatumia udongo wa kushikana (kama [[udongo wa mfinyazi]]) na kufinyanga vidoli.