Mia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+Confederate 100 Dollars.jpg #WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[File:Confederate 100 Dollars.jpg|thumb|right|Dola 100 ('''Mia'''), fedha ya kimarekani iliyotolewa 1862]]
'''Mia''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[namba]] inayoandikwa '''100''' ([[moja]] [[sifuri]] sifuri) kwa [[tarakimu]] za kawaida , ila kwa [[namba za Kirumi]] '''Ⅽ''' tu (kutokana na [[neno]] la [[Kilatini]] ''centum'', yaani ''mia moja'').