Hamira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
spam link
 
Mstari 8:
 
==Hamira ya mkate na pombe==
Ni hasa spishi moja yenye [[jina la kisayansi]] la saccharomyces''[[Saccharomyces cerevisiae]]'' inayotumiwa katika utengenezaji wa vyakula na vinywaji. Spishi hii imetumiwa na binadamu tangu miaka [[elfu]] kadhaa. Inakula [[kabohidrati]] katika wanga na [[sukari]] na kutoa [[gesi]] ya [[kaboni dioksidi|aboni dioksidi]] pamoja na [[ethanoli]].
 
Kwa hiyo chanzo cha [[Mkate#Mikate_iliyochachuka|mkate uliochachuka]] na pombe ni kilekile isipokuwa kama [[kinyunga]] kinapashwa [[moto]] [[alikoholi]] (pombe) inapotea, ni gesi tu inayofanya mkate kuwa laini, lakini kama majimaji inaongezwa na mchakato wa kuchachua unaendelea ni pombe inayotokea, ambayo aina yake inategemeana na [[viungo]].