Dimitri wa Thesalonike : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Dymitr z Salonik.jpg|thumb|right|200px|[[Picha takatifu]] ya [[karne ya 15]] ya Mt. Dimitri Solunski, ([[Russian State Museum]], [[Saint Petersburg]], [[Urusi]]).]]
'''Dimitri wa [[Thesalonike]]''' (kwa [[Kigiriki]] Άγιος Δημήτριος της Θεσσαλονίκης; alifariki [[306]] hivi) alikuwa [[Mkristo]] wa [[Sirmium]] (leo nchini [[Serbia]]) ambaye mwanzoni mwa [[karne ya 4]] alifia [[dini]] yake katika [[dhuluma]] ya [[Kaisari]] [[Diocletianus|Dioklesyano]].
 
Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]], [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kama [[mtakatifu]].