Papa Theodor I : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
Alimfuata [[Papa Yohane IV]] akafuatwa na [[Papa Martin I]].
 
Mzaliwa wa [[Yerusalemu]] ([[Israeli]]), alikimbilia [[Roma]] [[Waislamu]] walipoteka [[Nchi Takatifu]].
 
Alipinga [[uzushi]] wa waliokanusha [[Yesu]] kuwa na [[utashi]] wa kibinadamu.
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa tarehe [[18 Mei]].<ref>[http://www.synaxarion.gr/gr/sid/3247/sxsaintinfo.aspx Ὁ Ἅγιος Θεόδωρος ὁ Ἱερομάρτυρας Ἐπίσκοπος Ρώμης]. 18 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.</ref>
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==