Kiborloni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kiboriloni''' ni kata ya [[Moshi Mjini]] katika [[Mkoa wa Kilimanjaro]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''25113'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode</ref>. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,206 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Moshi MC]</ref> walioishi humo. Makabila yafuatayo yanapatkana katika kata hii ya kiboriloni; [[Wachagga]], [[Wapare]], na mengineo mengi. Ndani ya kata hii ya Kiboriloni kuna [[Ikulu ya Tanzania|Ikulu]] ndogo ambayo [[Rais|Raisi]] huwa anaitumia kwaajili ya mapumziko endapo akiwa na ziara katika Mkoa huu wa Kilianjaro. Wanachi wa kata hii wanajishughulisha na biashara ndogondogo kama uuzaji wa mbogamboga na matunda na pia wanajishughulisha na zao la [[ndizi]].
 
==Marejeo==