Ahadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Chinese-Promises-1-CR.jpg|thumb|[[Katuni]] ikionyesha ahadi za [[uongo]] za [[serikali]] ya [[China]] hadi zikaja kujulikana.]]
'''Ahadi''' ni hali ya kuaminisha au kumuaminishia mtu au watu juu ya [[Kitu|jambo]] fulani ambalo unatarajia kulitimiza na kulitekeleza kwa [[mtu]] au [[watu]].
 
Kwa mfano, ahadi yaweza kutolewa kama [[zawadi]], [[shukrani]] na hata [[pongezi]] kwa mtu fulani.
 
Msemo muhimu unafundisha kwamba "Ahadi ni [[deni]]". Hata hivyo mara nyingi ahadi ni za uongo au hazitimizwi kwa wakati uliopangwa.
 
{{mbegu-utamaduni}}