Kiborloni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kiboriloni''' ni [[kata]] ya [[Moshi Mjini]] katika [[Mkoa wa Kilimanjaro]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''25113'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode</ref>. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,206 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Moshi MC]</ref> walioishi humo. Makabila yafuatayo yanapatkana katika kata hii ya kiboriloni; [[Wachagga]], [[Wapare]], na mengineo mengi. Ndani ya kata hii ya Kiboriloni kuna [[Ikulu ya Tanzania|Ikulu]] ndogo ambayo [[Rais|Raisi]] huwa anaitumia kwaajili ya mapumziko endapo akiwa na ziara katika Mkoa huu wa Kilianjaro. Wanachi wa kata hii wanajishughulisha na biashara ndogondogo kama uuzaji wa mbogamboga na matunda na pia wanajishughulisha na zao la [[ndizi]].
 
Wakati wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,206 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Moshi MC]</ref> walioishi humo. Wananchi wa kata hii wanajishughulisha na [[biashara]] ndogondogo kama uuzaji wa [[Mboga|mbogamboga]] na [[matunda]] na pia wanajishughulisha na [[zao]] la [[ndizi]]. [[Makabila]] yafuatayo yanapatikana katika kata hiyo: [[Wachagga]], [[Wapare]], na mengineo mengi.
==Marejeo==
 
Ndani ya kata hii ya Kiboriloni kuna [[ikulu]] ndogo ambayo [[Rais]] huwa anaitumia kwa ajili ya mapumziko akiwa na ziara katika Mkoa wa Kilimanjaro.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{Kata za Wilaya ya Moshi Mjini}}