Maria Mikaela Desmaisieres : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 2:
'''Maria Mikaela Desmaisieres''' ([[Madrid]], [[Hispania]], [[1 Januari]] [[1809]] – [[Valencia]], [[24 Agosti]] [[1865]]) alikuwa [[mtawa]] aliyeanzisha shirika la [[Masista Waabuduo Wajakazi wa Sakramenti Kuu na wa Upendo]].
 
Kabla ya hapo alihudumiaaliacha [[maisha]] ya [[fahari]] ya [[familia]] yake akahudumia waliopatwa na [[taunikipindupindu]] na [[kahaba|makahaba]]<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/91064</ref>.
 
Hatimaye alihudumia tena wenye taunikipindupindu nayo ikampata na kumuua.
 
Anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]]. Alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mwenye heri]] [[tarehe]] [[7 Juni]] [[1925]], halafu mtakatifu tarehe [[4 Machi]] [[1934]].