Yoana Antida Thouret : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Jeanne-Antide Thouret.jpg|thumb|Mt. Yoana Antida Thouret]]
'''Yoana Antida Thouret''', kwa [[Kifaransa]]: '''Jeanne Antide''',; ([[Sancey-le-Long]], [[Ufaransa]], [[27 Novemba]] [[1765]] - [[Napoli]], [[Italia]], [[24 Agosti]] [[1826]]) alikuwa [[mtawa]] wa [[Kanisa Katoliki]] aliyeanzisha shirika la [[Masista wa Upendo wa Kimungu]].
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]] [[bikira]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila [[mwaka]] [[tarehe]] ya [[kifo]] chake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Maisha==
Yoana Antida alizaliwa Sancey-le-Long tarehe 27 Novemba [[1765]].
 
Alipofikia [[umri]] wa miaka 22 alijiunga na [[Masista wa Huruma]] wa mt. [[Vinsenti wa Paulo]] huko [[Paris]], lakini wakati wa [[Mapinduzi ya Kifaransa]] aliishi uhamishoni [[Uswisi]] na [[Ujerumani]], baada ya kulazimika kuacha shirika mwaka [[1789]].
 
Mwaka [[1797]] alirudi [[Ufaransa]] alipoanzisha [[shule]] kwa [[wasichana]] [[fukara]].
Mstari 41:
 
{{mbegu-Mkristo}}
 
{{DEFAULTSORT:Thouret, Yoana Antida}}