Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 25:
 
Naomba majibu kwenye ukurasa wa majadiliano ya wakabidhi. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 18:17, 23 Agosti 2020 (UTC)
 
==Pendekezo kuhusu kusitisha au kufuta wakabidhi==
Pendekezo langu kwa kura naona sasa hivi. Je inaweza kupelekwa vile?
 
:*Kama mkabidhi '''hakuhariri kabisa kwenye swwiki kwa mwaka mmoja''', atajulishwa kwamba haki zake zitasitishwa karibuni;
''':*asipojibu wala kurudi kuhariri, haki zake zitaondolewa; '''
:*kama alikuwa mkabidhi hai aliyetumia haki zake mara kwa mara '''anaweza kurudishwa''' kwa kibali cha wakabidhi hai wawili bila kura baada ya kuhariri tena katika swwiki kwa miezi mitatu '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 18:38, 23 Agosti 2020 (UTC)
Return to the project page "Wakabidhi".