Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 17:
 
2. '''Kuhusu orodha ya wakabidhi''' kuna matatizo mawili:
 
a) '''tunaendelea kutunza majina''' ya wengine ambao ama hawakushiriki kabisa tangu miaka, au hawakushiriki katika shughuli za usimamizi.
(hapa nitamwandikia kila mmoja na kumwuliza kama yuko tayari kutekeleza '''shughuli za admin''': kupitia mara kwa mara ukurasa wa Mabadiliko ya Karibuni, kuangalia makala mpya na mabadiliko, kufuta spam dhahiri, kupeleka makala zisizofaa kwenye ukurasa wa ufutaji, kushiriki katika ufutaji, kukaribisha wageni)
Return to the project page "Wakabidhi".