Michael Jackson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 2C0F:FE38:2020:6D08:1:1:DF23:D514 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Paul vicent miyowe
Tag: Rollback
dNo edit summary
Mstari 20:
Akiwa pamoja na ndugu zake, Jackson amefanya uongozi wa uimbaji kwa mara ya kwanza akiwa kama mwanachama mdogo kabisa katika kundi la [[The Jackson 5]] mnamo mwaka wa 1964. Ameanza kazi ya usanii wa kujitegemea kunako mwaka wa 1971. Albamu yake ya mwaka wa 1982 ''[[Thriller]]'' imebaki kuwa albamu yenye mauzo bora kwa muda wote. Mchango waka katika utengenezaji wa muziki wa video umeinua kutoka katika hali ya kawaida hadi katika hali ya kisanii zaidi: video zake kama vile ''[[Billie Jean]]'', ''[[Beat It]]'' na '' [[Thriller (wimbo)|Thriller]]'' inamfanya kuwa msanii Mmarekani Mweusi wa kwanza kupata kupigiwa nyimbo yake sana kwenye [[MTV]]. Jackson ameipa umaarufu baadhi ya maunja ya kudansi, kama vile [[robot (dansi)|robot]] na [[moonwalk (dansi)|moonwalk]]. Staili ya muziki wake, staili ya sauti yake na zile koregrafia zilitambulika vizazi kwa vizazi, kirangi na hata katika mipaka ya kitamaduni.
 
Jackson ni mmoja kati ya wasanii wachache waliowekwa mara mbili kwenye [[Rock and Roll Hall of Fame]]. Mafanikio mengine yanajumlisha ''[[Guinness World Records]]'' (ikiwa ni pamoja ''Mburudishaji Mwenye Mafanikio kwa Muda Wote''), Tuzo za [[Grammy Award|Grammy]] 15 (ikiwa ni pamoja na ile ya ''[[Living Legend Award]]'' na ile ya ''Lifetime Achievement Award''), 26 [[American Music Awards]] (24 akiwa kama msanii pekee ya kujitegemea, ikiwa ni pamoja na moja kwa ajili ya ''Msanii wa Karne'')—zaidi ya msanii mwingine yeyote— single zake 17 zimeshika nafasi ya kwanza huko nchini Marekani (ikiwa ni pamoja na nne akiwa kama mwanachama wa kina Jackson 5), na inakadiriwa kafanya mauzo ya rekodi zaidi ya milioni 750 dunia nzima,<ref name=" Michael Jackson album sales soar">{{cite web |url=http://edition.cnn.com/2009/SHOWBIZ/Music/06/26/michael.jackson.album.sales/|title= Michael Jackson album sales soar|publisher=[[CNN]]|date=2009-06-26|accessdate=2009-09-02}}</ref> inafanya kuwa miongoni mwa wasanii waliouza rekodi zao vilivyo kwa muda wote na haijawahi kutokea .<ref>{{cite web|last=Bialik |first=Carl |url=http://online.wsj.com/article/SB124760651612341407.html |title=The Wall Street Journal, Spun: The Off-the-Wall Accounting of Record Sales by Carl Bialik, Retrieved August 21, 2009 |publisher=Online.wsj.com |date=15 Julai 2009 |accessdate=2 Septemba 2009}}</ref>
 
Maisha binafsi ya Jackson yamezua utata kwa miaka kadhaa. [[Afya na Mwonekano wa Michael Jackson|Kujibadilisha kwa mwonekano wake]] ilianza kutambulika tangu mwishoni mwa miaka ya 1970 na kuendelea, kwa kubadilisha pua yake, na rangi ya ngozi yake, imesababisha makisio kadha wa kadha katika vyombo vya habari. Mnamo mwaka wa 1993 alishtakiwa kwa kosa la udhalilishaji wa kijinsia kwa mtoto, ingawa hakuna mashtaka yoyote yaliyotolewa dhidi yake. Mnamo mwaka wa 2005 amejaribu kuachana na mashtaka kama yale ya awali. Ameoa mara mbili, kwanza alioa mnamo 1994 na akaja kuoa tena mnamo 1996. Amepata watoto watatu, mmoja alizaliwa kwa mama mwenye kuchukua mimba kwa ajili ya familia fulani.