Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 34:
:*'''asipojibu wala kurudi kuhariri, haki zake zitaondolewa; '''
:*kama alikuwa mkabidhi hai aliyetumia haki zake mara kwa mara '''anaweza kurudishwa''' kwa kibali cha wakabidhi hai wawili bila kura baada ya kuhariri tena katika swwiki kwa miezi mitatu '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 18:38, 23 Agosti 2020 (UTC)
 
==Maoni yangu==
Nakubali mapendekezo ya Kipala. Kuhusu wakabidhi wanaofanya kazi sioni haja ya kupiga kura tena, lakini kwangu hakuna shida: niko tayari kuendelea na kazi au kuondolewa. Kuhusu kusitisha au kufuta wasiofanya kazi pendekezo la Kipala liwe kama sheria yetu ya kudumu: kimya cha mwaka mmoja kinatosha. Amani kwenu! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 05:55, 24 Agosti 2020 (UTC)
Return to the project page "Wakabidhi".