Raia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
+Senior Citizen in Cuba.jpg #WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[File:Senior Citizen in Cuba.jpg|thumb|right|'''Raia''' mzee wa nchi ya Cuba]]
'''Raia''' ni [[mtu]] anayeishi katika nchi fulani na kuwa na [[haki]] zote kama mzalendo wa nchi yake. Mzalendo ni mtu anayeishi katika nchi fulani na kufuata [[sheria]] za nchi na analinda na kuviheshimu vitu vya nchi yake. Kwa mfano, mtu anayeishi katika nchi ya [[Tanzania]] ni Mtanzania.