Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 37:
==Maoni yangu==
Nakubali mapendekezo ya Kipala. Kuhusu wakabidhi wanaofanya kazi sioni haja ya kupiga kura tena, lakini kwangu hakuna shida: niko tayari kuendelea na kazi au kuondolewa. Kuhusu kusitisha au kufuta wasiofanya kazi pendekezo la Kipala liwe kama sheria yetu ya kudumu: kimya cha mwaka mmoja kinatosha. Amani kwenu! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 05:55, 24 Agosti 2020 (UTC)
:Hata mimi nakubali na kuwa tayari kwa kuendelea kazi yangu kama mkabidhi.'''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 16:07, 24 Agosti 2020 (UTC)
Return to the project page "Wakabidhi".