Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 38:
Nakubali mapendekezo ya Kipala. Kuhusu wakabidhi wanaofanya kazi sioni haja ya kupiga kura tena, lakini kwangu hakuna shida: niko tayari kuendelea na kazi au kuondolewa. Kuhusu kusitisha au kufuta wasiofanya kazi pendekezo la Kipala liwe kama sheria yetu ya kudumu: kimya cha mwaka mmoja kinatosha. Amani kwenu! --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 05:55, 24 Agosti 2020 (UTC)
:Hata mimi nakubali na kuwa tayari kwa kuendelea kazi yangu kama mkabidhi.'''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 16:07, 24 Agosti 2020 (UTC)
::Niko nawe, ChriKo. Bado ninapenda kuendelea na kazi yangu. Mfano juzi tu, niliongeza idadi ya '''onyo''' katika makala kwa ufutaji dropdown menu! Laiti kama nisingekuwa na haki hiyo, basi ingebaki historia!--[[User:Muddyb|<font color="blue"><sub>''''Muddyb Mwanaharakati''''</sub></font>]]</span> <font face="Comic Sans MS">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="black"><sup>''''Longa''''</sup></font>]] 06:06, 25 Agosti 2020 (UTC)
Return to the project page "Wakabidhi".