Justin Timberlake : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
'''Justin Timberlake''' (amezaliwa tar. 31 Januari, 1981 mjini Memphis, Tennessee, Marekani) ni mwimbaji wa muziki wa pop na R&B kutoka nchini Marekani. ...
 
Mstari 12:
Timberlake alianza mambo ya mapenzi akiwa yungali mdogo sana, wa kwanza kuwa nae alikuwa mwanafunzi mwenziye na baada ya hapo mwanamuziki wa pop bi. Veronica Finn, lakini penzi lao halikudumu sana wakaachana pasipo na amani.
 
Baadaye alianza uhusiano na mwanamzuiki [[Britney Spears]], mara tu walipokutana katika kipindi cha [[televisheni]] cha [[Mickey Mouse Club]]. Mahusiano hayo yalikuwa gumzo kubwa kwa jamii. Mahusiano hayo yaliisha ghafla mwaka [[2002]] baada ya Timberlake kumshutumu Spears kuwa anamahusiano ya kimapenzi na mwalimu wa ufundishaji muziki wa ku-densi Bw. [[Wade Robson]].
 
Line 20 ⟶ 19:
 
Mnamo mwaka [[2007]], ilijulikana kwamba Tilmberlake ana mahusiano ya kimapenzi na mwigizaji wa filamu Bi. Jessica Biel.
 
==Nyimbo na albamu==
===Albamu alizotoa===