Oswald wa Northumbria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Saint Oswald Durham Cathedral.jpg|thumb|200px|Mt. Oswald alivyochorwa katika [[karne ya 12]] ([[kanisa kuu]] la [[Durham]]).]]
'''Oswald wa Northumbria''' ([[Deira]], [[Northumbria]], [[604]] hivi &ndash; [[Maserfield]], [[5 Agosti]] [[641]]/[[642]]<ref name="Poole">Bede gives the year of Oswald's death as 642, however there is some question as to whether what Bede considered 642 is the same as what would now be considered 642. R. L. Poole (''Studies in Chronology and History'', 1934) put forward the theory that Bede's years began in September, and if this theory is followed (as it was, for instance, by [[Frank Stenton]] in his notable history ''Anglo-Saxon England'', first published in 1943), then the date of the Battle of Heavenfield (and the beginning of Oswald's reign) is pushed back from 634 to 633. Thus, if Oswald subsequently reigned for eight years, he would have actually been killed in 641. Poole's theory has been contested, however, and arguments have been made that Bede began his year on 25 December or 1 January, in which case Bede's years would be accurate as he gives them.</ref>) alikuwa [[mfalme]] wa [[Northumbria]] kuanzia [[mwaka]] [[634]] hadi [[kifo]] chake [[Vita|vitani]]. Aliunganisha tena nchi na kueneza [[Ukristo]] ndani yake.
 
Ni kwamba [[mwaka]] [[616]] alilazimishwa kwenda uhamishoni katika kisiwa cha Iona ambako akabadilika kuwa Mkristo na [[ubatizo|kubatizwa]].
Aliunganisha tena nchi na kueneza [[Ukristo]] ndani yake. [[Habari]] zake ziliandikwa hasa na [[Beda Mheshimiwa]][http://www.catholic-forum.com/saints/sainto25.htm].
 
Mwaka [[634]] Oswald alirudishiwa ufalme wa Northumbria akaamua kuwaingiza katika Ukristo wananchi wake ambao wengi wao walikuwa Wapagani. Ili kutekeleza lengo hilo aliwaomba watawa wa Iona wamtumie [[mmisionari|wamisionari]], naye Aidan akafika mwaka [[635]].
 
Aidan alichagua kisiwa cha [[Lindisfarne]] kiwe [[makao makuu]] ya [[dayosisi]] yake kwa vile kilikuwa karibu na [[ngome]] ya kifalme kule [[Bamburgh]].
 
Mwanzoni alikuwa mfalme Oswald mwenyewe aliyewatafsiria Aidan na watawa wake kwa vile walikuwa hawajajifunza [[lugha]] ya kale ya Kiingereza.
 
Aliunganisha tena nchi na kueneza [[Ukristo]] ndani yake. [[Habari]] zake ziliandikwa hasa na [[Beda Mheshimiwa]][http://www.catholic-forum.com/saints/sainto25.htm].
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]], [[Waorthodoksi]] na [[Waanglikana]] kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]]<ref>See entry for [https://www.churchofengland.org/prayer-worship/worship/texts/the-calendar/holydays.aspx 5 August].</ref><ref>Craig, Oswald</ref>.
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa [[tarehe]] ya [[kifo]] chake.
 
==Tazama pia==