Tofauti kati ya marekesbisho "Ruaha Mkuu"

38 bytes added ,  miezi 2 iliyopita
no edit summary
(+image#WPWP)
[[Picha:SelousSandRivers.jpg|thumb|mto ruaha]]
[[File:Ruaha National Park Panorama.jpg|thumbnail|right|200px|[[Mandhari]] ya [[Hifadhi ya Ruaha|Hifadhi ya Taifa ya Ruaha]] na mto wake [[tarehe]] [[27 Julai]] [[2003]].]]
[[Picha:SelousSandRivers.jpg|thumb|mtoMto ruaha]]
'''Ruaha Mkuu''' (pia: '''Ruaha Mkubwa''') ni [[mto]] muhimu nchini [[Tanzania]] na [[tawimto]] wa [[Rufiji (mto)|Rufiji]]. Huitwa "Ruaha Mkuu" kwa kuutofautisha na "Ruaha Mdogo" unaoishia ndani yake, si mbali na [[Iringa Mjini]]. [[Jina]] Ruaha kwa [[Kihehe]] linamaanisha "maji mengi".
 
==Chanzo na mwendo wa mto==
[[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake ni mito mingi midogo inayotelemka [[milima]] ya [[nyanda za juu]] za [[kusini]] mwa Tanzania, hasa [[safu za milima]] ya [[Milima ya Uporoto|Uporoto]] na ya [[Milima ya Kipengere|Kipengere]]. Mito hii inakusanya [[maji]] yake kwenye [[tambarare]] ya [[Usangu]] na ndipo Ruaha inapoanza. Mito mikubwa zaidi inayoungana hapa na kuunda Ruaha ni pamoja na [[mto Mbarali]], [[mto Kimani]] na [[mto Chimala]].
 
Karibu na [[Ng’iriama]] mto unatoka katika Usangu na kuingia [[Hifadhi ya Ruaha|hifadhi ya kitaifa ya Ruaha]]. Inaendelea kupokea Ruaha Mdogo na [[mto Kisigo]] kabla ya kuingia katika [[ziwa]] la [[lambo la Mtera]], halafu inaendelea hadi [[lambo la Kidatu]].