Tambarare ya Uhindi Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Indo-Gangetic Plain hadi Tambarare ya Uhindi Kaskazini
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Indo-Gangetic Plain.png|250px|thumb|Maeneo ya tambarare ya Uhindi Kaskazini]]
[[Picha:Indo-Gangetic_Plain.jpg|thumb|200x200px| MaporiMashariki ya Kaskazini ya Gangetic yatambarare (India, Bangladesh na Nepal.) kwa macho ya satelaiti; [[Ganga (mto)|Mto wa Ganges]] uko katikati ya tambarare. ]]
'''Tambarare ya Uhindi Kaskazini''' ni eneo kubwa ya nchi upande wa kusini ya Milima ya Himalaya inayofunika [[Uhindi|Uhindi Kaskazini]] yote na [[Bangladesh]] yote pamoja na sehemu za [[Pakistan]] na [[Nepal]]. Tambarare hiyo inasababishwa na mito miwili ya [[Indus]] na [[Ganges]] ina kilomita za mraba milioni 2.5. Inakaliwa na watu bilioni 1 yaani sehemu ya saba ya watu wote duniani.