Tambarare ya Uhindi Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Indo-Gangetic Plain.png|250px|thumb|Maeneo ya tambarare ya Uhindi Kaskazini.]]
[[Picha:Indo-Gangetic_Plain.jpg|thumb|200x200px| Mashariki yamwa tambarare (India, Bangladesh na Nepal) kwa macho ya satelaiti; [[Ganga (mto)|Mto Ganges]] uko katikati ya tambarare. ]]
'''Tambarare ya Uhindi Kaskazini''' ni eneo kubwa yala nchi[[bara]] upande wa [[kusini]] yawa [[Milima]] ya [[Himalaya]] inayofunikalinaloshika [[Uhindi|Uhindi Kaskazini]] yote na [[Bangladesh]] yote pamoja na sehemu za [[Pakistan]] na [[Nepal]]. Tambarare hiyo inasababishwa na mito miwili ya [[Indus]] na [[Ganges]] ina kilomita za mraba milioni 2.5<ref>{{cite book|author1=Taneja, Garima|author2=Pal, Barun Deb|author3=Joshi, Pramod Kumar|author4=Aggarwal, Pramod K. |author5=Tyagi, N. K.|title=Farmers preferences for climate-smart agriculture: An assessment in the Indo-Gangetic Plain|url=https://books.google.com/books?id=_45iAwAAQBAJ|year=2014|publisher=Intl Food Policy Res Inst|page=2}}</ref>. Inakaliwa na watu bilioni 1 yaani sehemu ya saba ya watu wote duniani.
 
Tambarare hiyo imesababishwa na [[mito]] miwili ya [[Indus]] na [[Ganges]] na ina [[kilomita za mraba]] [[milioni]] 2.5<ref>{{cite book|author1=Taneja, Garima|author2=Pal, Barun Deb|author3=Joshi, Pramod Kumar|author4=Aggarwal, Pramod K. |author5=Tyagi, N. K.|title=Farmers preferences for climate-smart agriculture: An assessment in the Indo-Gangetic Plain|url=https://books.google.com/books?id=_45iAwAAQBAJ|year=2014|publisher=Intl Food Policy Res Inst|page=2}}</ref>. Inakaliwa na [[watu]] [[bilioni]] 1 yaani sehemu ya [[Saba (namba)|saba]] ya watu wote [[duniani]].
Tambarare yote imegawiwa katika beseni ya mito miwili: maji upande wa magharibi huelekwa kwenda mto Indus na upande wa mashariki kuelekea mto wa Ganges.
 
Tambarare yote imegawiwa katika besenimabeseni ya mito miwili: [[maji]] upande wa [[magharibi]] huelekwa kwendahuelekea mto Indus na upande wa [[mashariki]] kuelekeahuelekea mto wa Ganges.
Tambarare hiyo inapokea maji yake kutoka milima ya Himalaya hasa; mito hii imetelemka pamoja na matope yaliyojenga tabaka nene la ardhi yenye rutba. Hivyo ni eneo linalofaa kwa kilimo hasa cha [[mpunga]] na [[ngano]] kinacholisha idadi kubwa ya watu.
 
Tambarare hiyo inapokea maji yake kutoka milima ya Himalaya hasa; mito hiihiyo imetelemka pamoja na [[matope]] yaliyojenga [[tabaka]] nene la [[ardhi]] yenye rutba[[rutuba]]. Hivyo ni eneo linalofaa kwa [[kilimo]] hasa cha [[mpunga]] na [[ngano]] kinacholisha [[idadi]] kubwa ya watu.
Katika historia ya binadamu ilikuwa kati ya maeneo ya kwanza ambako milki na utamaduni wa miji zilianzishwa zilizowezsha kuwepo kwa wataalamu walioweka misingi ya sanaa na elimu ya juu.<ref name="CIA World Factbook - India">{{cite web|url = https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/in.html|title = India|publisher = CIA – The World Factbook|accessdate = 14 December 2007|url-status = live|archiveurl = https://web.archive.org/web/20080611033144/https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/in.html|archivedate = 11 June 2008}}</ref>
 
Katika [[historia]] ya [[binadamu]] ilikuwa kati ya maeneo ya kwanza ambako [[milki]] na [[utamaduni]] wa [[miji]] zilianzishwavilianzishwa zilizowezshavikiwezesha kuwepo kwa [[wataalamu]] walioweka [[msingi|misingi]] ya [[sanaa]] na [[elimu]] ya juu.<ref name="CIA World Factbook - India">{{cite web|url = https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/in.html|title = India|publisher = CIA – The World Factbook|accessdate = 14 December 2007|url-status = live|archiveurl = https://web.archive.org/web/20080611033144/https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/in.html|archivedate = 11 June 2008}}</ref>
 
==Marejeo==
<references/>
{{mbegu-jio-Asia}}
 
[[Jamii:Jiografia ya Bangladesh]]
[[Jamii:Jiografia ya Nepal]]
[[Jamii:Jiografia ya Uhindi]]
[[Jamii:Jiografia yya Pakistan]]