Papa Yohane XII : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:GiovanniXII.png|thumb|right|200px|Picha inayotumika kama yake, ingawa alipofariki alikuwa na umri wa miaka 27 tu.]]
'''Papa Yohane XII''' (takriban [[937]] – [[14 Mei]], [[964]]) alikuwa [[papaPapa]] kuanzia [[tarehe]] [[16 Desemba]], [[955]] hadi [[kifo]] chake.
 
[[Jina]] lake la kuzaliwa lilikuwa '''Octavian''' akiwa [[mzao]] wa [[Karolo Mkuu]], vizazi [[Saba (namba)|saba]] kutoka kwake.
 
Alikuwa akihusiana na [[ukoo]] wa [[Tusculum]] na mwanachama wa [[familia]] mashuhuri ya [[Teofilatto]] ambayo ilikuwa imesimamia [[siasa]] za Mapapa kwa zaidi ya [[nusu]] [[karne]]. [[Upapa]] wake ukawa mbaya kwa madai ya [[udhalimu]] na [[maadili]] mabovu.
 
Alimfuata [[Papa Agapeto II]] akafuatwa na [[Papa Benedikto V]].
Mstari 10:
== Viungo vya nje ==
*[http://www.newadvent.org/cathen/08426b.htm Papa Yohane XII katika ''Kamusi Elezo ya Kikatoliki'']
{{Mapapa}}
 
{{mbegu-Papa}}
{{Mapapa}}
{{DEFAULTSORT:Yohane XII}}
 
[[Jamii:Papa]]
[[Jamii:Waliozaliwa 937]]