Kisuke : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuondoa majina ya madiwani
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Kisuke''' ni [[kata]] ya [[Wilaya ya Ushetu]] katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,467 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council]</ref>
 
Hadi mwaka [[2015]] kata ya Kisuke ilikuwa inajumuisha [[vijiji]] zaidi ya 12 ambavyo ni: Kisuke, Kalaba, Nyamilangano, Bukomela, Nussa, Ngokolo, Mitonga, Mapamba, Kawekunelela, Itumbo, Kalaba na Ipilinga. Kata hii ilikuwa ikiongozwa na [[diwani]] Juma Kimisha kwa miaka kumi mfululizo tangu mwaka [[2005]]. Baada ya hapo kata hiyo kubwa iligawanyailigawanywa na kutengeneza kata [[nne]] yaani: Kisuke, [[Nyamilangano]], [[Bukomela]] na [[Mapamba]].
 
Kata ya Kisuke imebaki na vijiji vinne tu: Kisuke ([[makao makuu]] ya kata), Itumbo, Kalaba na Ipilinga.
 
==Elimu==