Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 15:
'''Bureaucrat''' (ni neno la Kiingereza, maana yake ni mfanyakazi wa uendeshaji wa serikali au ushirika mwingine). Ana uwezo wa kumfanya mtu kuwa mkabidhi, kubadilisha jina la mtumiaji na kuteua akaunti ya kikaragosi ("set bot flag", kwa Kiingereza).
 
== Wakabidhi (''Administrators'') ''(orodha inaangaliwa upya tangu 04-Sept. 2020)'' ==
Orodha hii ilisahihishwa tarehe 26, Mei 2014 (Jadnapac aliongezwa mwaka 2018).