Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 13:
'''Mkabidhi''' ni mhariri aneyeweza kutumia zana za kifundi, kwa mfano, kufuta makala kabisa, kuhifadhi makala, kuzuia waharibifu na kadhalika. Mkabidhi ni msaidizi tu. Hana hukumu maalum juu ya maandishi ya makala au sera ya kamusi elezo.
 
'''Bureaucrat''' <small>''(ni neno la Kiingereza, maana yake ni mfanyakazi wa uendeshaji wa serikali au ushirika mwingine)''</small>. Ana uwezo wa kumfanya mtu kuwa mkabidhi, kubadilisha jina la mtumiaji na kuteua akaunti ya kikaragosi ("set bot flag", kwa Kiingereza).
 
== Wakabidhi (''Administrators'') ''(orodha inaangaliwa upya tangu 04-Sept. 2020)'' ==