Kisuke : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Kisuke''' ni [[kata]] ya [[Wilaya ya Ushetu]] katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,467 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council]</ref>
 
Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,467 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council]</ref>
Hadi mwaka [[2015]] kata ya Kisuke ilikuwa inajumuisha [[vijiji]] zaidi ya 12 ambavyo ni: Kisuke, Kalaba, Nyamilangano, Bukomela, Nussa, Ngokolo, Mitonga, Mapamba, Kawekunelela, Itumbo, Kalaba na Ipilinga. Kata hii ilikuwa ikiongozwa na [[diwani]] Juma Kimisha kwa miaka kumi mfululizo tangu mwaka [[2005]]. Baada ya hapo kata hiyo kubwa iligawanywa na kutengeneza kata [[nne]] yaani: Kisuke, [[Nyamilangano]], [[Bukomela]] na [[Mapamba]].
 
Hadi mwaka [[2015]] kata ya Kisuke ilikuwa inajumuisha [[vijiji]] zaidi ya 12 ambavyo ni: Kisuke, Kalaba, Nyamilangano, Bukomela, Nussa, Ngokolo, Mitonga, Mapamba, Kawekunelela, Itumbo, Kalaba na Ipilinga. Baada ya hapo kata hiyo kubwa iligawanywa na kutengeneza kata [[nne]] yaani: Kisuke, [[Nyamilangano]], [[Bukomela]] na [[Mapamba]]. Kata ya Kisuke imebaki na vijiji vinne tu: Kisuke ([[makao makuu]] ya kata), Itumbo, Kalaba na Ipilinga.
 
==Elimu==
Mstari 12:
 
==Uchumi==
Wakazi wa kata ya Kisuke wanajishughulisha sana na [[kilimo]] na [[ufugaji]]. Kati ya [[wazee]] mashuhuri wa kijiji hiki na kata hii kuna Nyahinga Katumbati, mfugaji wa [[nyuki]] mkubwa, John Lutonja, na Bulyankulu Ng'ombejanke, mfugaji mkubwa katika Kijijikijiji Chacha Itumbo, Athumani Mabumba n.k
 
==Biashara==
Kata ina magulio mawili: gulio la Kisuke lililopo katika [[mtaa]] wa Mji Mwema, kijiji cha Kisuke, na gulio la Itumbo lililopo katika mtaa wa Senta katika, kijiji cha Itumbo.
 
==Dini==
Wakazi wengi wa kata hii ni [[Wakristo]] na [[Waislamu]], huku [[idadi]] ndogo ya [[watu]] wakiwa ni wasiofungamana na [[dini]] yoyote.
 
==Eneo la kihistoria==
Kata ya Kisuke ilishawahi kutembelewa na [[Rais]] wa kwanza wa [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]], [[Julius K. Nyerere]], mnamo mwaka [[1973]] alipofanya [[uzinduzi]] wa [[Ofisi]] ya [[CCM]] kata ya Kisuke ambayo mpaka leo ipo na inaendelea kutumika.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{Kata za Wilaya ya Kahama VijijiniUshetu}}
{{mbegu-jio-shinyanga}}
 
[[Jamii:Mkoa wa Shinyanga]]
[[Jamii:Wilaya ya Kahama VijijiniUshetu]]