Tofauti kati ya marekesbisho "Mlima Olimpos"

60 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
[[Picha:Mount_Olympus_from_Litochoro.jpg|thumb|250px|Mlima Olimpos.]]
'''Mlima Olimpos''' (kwa [[Kigiriki]]: Όλυμπος, ''Ólympos'') ni [[Safu ya milima|safu]] ndogo ya [[milima]] yenye vilele 52. [[Kilele]] cha juu ni Mytikas kinachofikia [[mita]] 2,918 [[juu ya UB]], kikiwa kirefu kuliko milima yote ya [[Ugiriki]].
 
Katika masimulizi ya [[mitholojia ya Kigiriki|mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] mlima huu ulikuwa makao ya [[Miungu|miungu]] yao. Miungu iliyokuwa ikiishiikidhaniwa kuishi katika mlima olimposOlimpos walikuwa 10 kati ya 12, mmoja kati ya wawili aliishi chini ya [[dunia]] ([[kuzimu]]) alikuwa akiitwa hade[[Hade]] na mwingine aliishi [[Bahari|baharini]] akiitwa poseidon[[Poseidon]].
'''Mlima Olimpos''' ([[Kigiriki]]: Όλυμπος, ''Ólympos'') ni [[Safu ya milima|safu]] ndogo ya [[milima]] yenye vilele 52. [[Kilele]] cha juu ni Mytikas kinachofikia [[mita]] 2,918 [[juu ya UB]], kirefu kuliko milima yote ya [[Ugiriki]].
 
Katika masimulizi ya [[mitholojia ya Kigiriki|mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] mlima huu ulikuwa makao ya miungu yao.
 
{{mbegu-jio-Ugiriki}}
miungu iliyokuwa ikiishi katika mlima olimpos walikuwa 10 kati ya 12, mmoja kati ya wawili aliishi chini ya dunia (kuzimu) alikuwa akiitwa hade na mwingine aliishi baharini akiitwa poseidon
{{DEFAULTSORT:Olimpos}}
[[Jamii:Milima ya Ugiriki]]