Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎B.) Pendekezo la kuchagua wakabidhi wapya: Nimepiga kura, nimependekeza majina mengine na kufanya maboresho kadhaa katika ukurasa huu
Mstari 177:
<sup>Unaweza kuangalia michango ya mtumiaji kwenye miradi yote ukiandika [https://sw.wikipedia.org/wiki/Maalum:CentralAuth?target= username hapa]</sup>
 
'''Hapa tutaje jina la mtumiaji'''. Tutafakari vema kama maarifa yake na historia ya uhariri vitamsaidia kutekeleza wajibu. Andika jina lake badala ya "NN" na weka alama (sahihi) yako ya '''<nowiki>~~~~</nowiki>''' kwa "Nakubali". '''Kama huna jina la kupendekeza, angalia waliotajwa/waliopendekezwa tayari na uweke alama (sahihi) yako''' baada ya "Nakubali" / "Sikubali". Baada ya siku 10 (tarehe 14 Septemba 2020) zoezi la upigaji kura litafungwa na matokeo yatatangazwa.
 
* '''[[User:Czeus25 Masele|Czeus25 Masele]]'''