Mama Teresa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
fix lint error
No edit summary
Mstari 5:
Tarehe [[19 Oktoba]] [[2003]] alitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[mwenye heri]]. Baada ya [[muujiza]] wa pili kufanywa na [[Mungu]] kwa maombezi yake, [[Papa Fransisko]] amemtangaza kuwa [[mtakatifu]] tarehe [[4 Septemba]] [[2016]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Septemba<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>. Siku hiyohiyo imetangazwa na [[mkutano mkuu]] wa [[Umoja wa Mataifa]] kuwa [[siku ya kimataifa ya upendo]] kuanzia mwaka [[2013]].
 
== Maisha ==
Mstari 125:
[[Jamii:Waliofariki 1997]]
[[Jamii:Mabikira]]
[[Jamii:Wamisionari]]
[[Jamii:Watawa waanzilishi]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Amani]]